Test Footer

Misteri

Recent Post

TAZAMA MSANII HUSSEIN MACHOZI ALIVYOOWA KIMYA KIMYA HUKO KENYA NA HUYU NDIO SHEMEJI YETU..!!

Mac For Worlding | 6.9.13 | 0 commentaires


Hussein-4

hussein


Idadi ya wasanii wa bongo fleva wanaovuta majiko (kuoa) inazidi kuongezeka, na safari hii aliyeiaga kambi ya ukapela ni hit maker wa ‘Kwaajili Yako’ Hussein Rashid maarufu kama Hussein Machozi ambaye (August 28) amefunga pingu za maisha kimya kimya na Shu Yunus Omar raia wa Kenya.
Kupitia kurasa zao za facebook wote wawili Hussein Machozi na mkewe Shu Omar wamebadilisha status zao kutoka ‘In a releationship’ na kuwa ‘Married’ huku mkewe akielezea furaha yake kuwa mke wa staa huyo kutoka Manyoni, Singida. hhh h1 
  Hizi ni baadhi ya picha za chaguo la Machozi
Hus-1

hus-3
hus-2
hus-4  
Addicted Hit maker pia ni baba wa mtoto mmoja wa kike aitwaye Zakia. Thesuperstarstz inakupa Hongera sana Hussein kwa kupiga hatua hiyo kubwa katika maisha

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 commentaires