DIAMOND PLATINUM AJIWEKA KWA PENY
Diamond Platinum akiwa amelala na Penny. |
kupitia katika mitandao mbalimbali kulikuwa na maswali mengi sana juu ya picha hiyo ambayo bila kificho imemuanika Diamond Platinum akiwa amelala na Penny.maswali mengi yaliuliza kama ni wapenzi ama lah,na wengine walijijibu kama sio wapenzi iweje walale vile kimahaba .
Wema sepetu akiwa kalala na Diamond enzi zao |
Kumbukumbu zinatuonyesha pia kuwa wema alijua kuwa dimond alikuwa ni wa jackline wolper lakini bila aibu alimchukua kwa hiyo hatuoni cha ajabu kilisema chanzo hicho.
Mama bryan wa mikocheni alisema yeye anachoshangaa ni kuwa picha ya peny na dimond ni sawa na picha ya wema na diamond so naamin kuna kitu hapo lazima mapenzi yameshazama kati kati alisema mama huyo.
Joketi akiwa na Diamond |
Wema akiwa na diamond |
Tumempigia simu diamond kutaka kujua zaidi ambapo alipokea simu na mara baada ya kumsomea mashtaka yake alicheka na kukata simu kwakuwa tunataka habari ilitulazimu tupige tena alipokea na kujibu super star achana nazo bwana kisha akakata tena na tulipopiga tena ilikuwa haipatikan tuliamua kumpigia mtu wa karibu naye na tulipomuuliza alisema mpigieni meneja wake ila akatuambia hiyo ni picha tu tulimpigia manager wa diamond ila hakupatikana hewan
Dimamond akiwa na joketi |
Category: News de stars
0 commentaires