Home �
News de stars
� Ommy Dimpoz amtaja TID kama chanzo cha mafanikio yake
Mac For Worlding |
3.9.13 |
0
commentaires
Hit-maker wa Me and You, Ommy Dimpoz jana alifunguka kwenye
semina ya fursa ,mjini Mtwara iliyoendana sambamba na Serengeti Fiesta
kwa kumsifia Mnyama TID kama mmoja wa watu waliomsaidia kwa namna moja
kumfikisha alipo sasa
Ommy alikuwa mmoja wa wasanii walioongea kwenye semina ya fursa
iliyohusaiana na wakazi wa Mtwara kutumia fursa walizonazo kwa maendeleo
yao.
“Ukitaka kufanikiwa lazima utumie fursa zilizopo mimi TID
nilikuwa naimba kwake kama back vocalist lakini watu walikuwa
wananisifia naweza kuimba,kwahiyo kwa namna moja TID amenisaidia sana
katika harakati za kukuza muziki wangu. Ngoma yangu ya kwanza “Nai Nai”
watu walishangaa huyu alipata wapi pesa ya kurekoni na kweli nilikuwa
sidaiwi hata mia kutokana nilitumia fursa vizuri, kwahiyo hata wewe
unaweza kamata fursa twenzetu,” alisema Ommy.
Category:
News de stars
About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!
0 commentaires