Home �
News de stars
� HIVI NDIVYO LAUNCHING VIDEO YA MY NUMBER ONE ILIVYO HAPPEN NDANI YA SERENA HOTEL
Mac For Worlding |
30.8.13 |
0
commentaires
|
Napenda kutoa Shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanikisha hadi kufikia hapa muda na wakati kama huu... Usiku wa tarehe 29.08.2013 nilikuwa na Launch video yangu inayotambulika kama My Number One,nilianda tafrija fupi kwenye hoteli ya nyota tano,Serena Hotel jijini Dar Es Salaam
,ili kuweza kujumuika na ndugu,jamaa na marafiki wa karibu kuwonesha kile kitu ambacho nimetumia muda mwingi kutengeneza,kabla ya kuiachia nikaona vyema waipitie kabla mtu wangu wa kweli ujaicheki.
Shukrani zangu nyingie ziwaende kwa wageni waalikwa
wote kufika na kutoa support na kushow love kwangu
Sina cha kuwalipa bali kusema asante na mzidi kutegemea
kazi nzuri toka kwangu...
Napenda kuwashukur wasanii wenzangu waliofika
kuangalia video yangu na kuzishukur media zote
na Blogs zote zilizofika kuakikisha wakipata
matukio muhimu kabisa.
Mtu wangu wa kweli unaweza ukache Exclusive Photo kwaajili yako
ujione kilichojiri usiku wa My Number One video Launching
Serena Hotel. |
|
WASAFI......WCB |
|
Picha Picha tu zinahusika sehemu kama hizi.....Kumbukumbu tosha. |
|
William Malecella or U can Call Him Lemutuz..... |
|
I-view Media C.E.O & Founder Raqeey wa kulia na Mpenzi wa Nancy Sumari. |
|
Nancy Sumari,Kulia akiteta jambo na mgeni mwingeni mwalikwa....Sehemu kama hizi ukutanisha watu na kubadilishana mawazo... |
|
Kutoka Kushoto A.Y,Shaa,Bench Mark Founder & EBSS Chief Judge Madam Rita & Salama Jabir ndani ya nyumba.... |
|
Kila mtu Busy na simu kuangalia kianchojiri kwenye upande wa pili wakisubiria Launching ya My Number One... |
|
Uncle Salu akukosekana nae,kuhakikisha mambo yanaenda sawa pembeni ni mama yangu Mzazi BI Sandrah.... |
|
Mama Yangu kipenzi akukosekana,Asante sana mama kwa kufika,Binafsi nafarijika kuona hata mama yangu mzazi anakubali kazi zangu... |
|
Kelvin Twisa toka VODACOM nae ndani ya Jumba.... |
|
Hizi unazoona kwenye Screen ndani ya picha ni baadhi ya Clip za Behind the scene ya My Number One.... |
|
Babu tale toka Tip Top Connection & Fella toka TMK... |
|
Toka Bongo MOVIE JAY B & RAY walikuwepo kuona kile ndugu yao wa karibu nini nafanya... |
|
Madee toka Tip Top Connection nae alikuwepo... |
|
Proffesor Jay nae alikuwepo kuakikisha anashuudia kile ambacho alikuwa akikisikia... |
|
Abdallah au waeza muita Mjukuu wa Ambua basi tumuite Dullah Planet Bongo ndiye alikuwa anaongoza gurudumu ili kuanzia mwanzo hadi mwisho... |
|
Wenzetu wanaita Master Of Ceremony but binafsi watu wanaoendesha shuguli yoyote ya maongezi au Sherehe namuiaga msema Chochote.... |
|
Nikitokeza kwa Stage kusalimiana na wageni wangu waalikwa waliofika kwaajili yangu kushuudia uzinduzi wa Video yangu Mpya..... |
|
Hahaha usiombe usikie nilichoambiwa hapa mbele....Lazima utatabasamu... |
|
Mama yangu akitabasamu kuonesha ishara ya furaha ndani yake... |
|
Furaha ilioje.....imezidi mpaka imepitiliza...uwiiii mama yangu nakupenda sana... |
|
SENEDA vipi tena....? Macho Kodoo wapi.... |
|
Muda baada ya wadau wangu na watu wangu wa karibu kuiona video hiyo hii ilikuwa zawadi yangu kwao,kwa mara ya kwanza nimetumbuiza my number one kwenye stage.... |
|
Gentleman's....... |
|
Taratibu...... |
|
Aghaaa.....Tatu kidonda chako kwangu maradhi...... |
|
Kwa mahaba uliyonipa...Nimenogewa..... |
|
Ajajaja Mizuka imepanda.... |
|
Woshhhhh.....Balaa sana...... |
|
Baada ya kutumbuiza nilikuwa na machache ya kuzungumza nao.... |
|
Kutoka Kushoto Sheddy Clever Producer aliefanya My Number one..... |
|
Ommy Dimpoz...Tupogo nae alikuwepogo ndani ya Nyumba..... |
|
G5 CLICK..... |
|
Nikikumbatiana na Ommy Dimpoz...Thanks Man kwa kutokea... |
|
Nilikuwa Busy sana toka nimewasili baada ya kila kitu ilikuwa time ya kuzunguka na kuongea na kusalimu wageni waalikwa......Mmoja wapo Kaka yangu Dully nilienda kusalimiana nae kitambo atujasomana... |
|
Ukikaa na huyu mtu kamwe uwezi nuna pasipo sababu ya msingi..... |
|
Qboy Msafi...Assistance wangu wa karibu... |
|
Nikisikiliza jambo la muhimu toka kwa Meneja mahusiano wa VODACOM Tanzania... |
|
Dude a.k.a Yahya au waeza mwita Bongo Dar Es Salaam alikuwepo pia.... |
|
Nelly toka G5 Clik ya Clouds Media Group nae ndani... |
|
Ommy Dimpoz & Qboy msafiii |
|
My Blood Rommy Jones au waweza muita Vice President wa wasafi,Ommy Tupogo,Qboy & Prince Dully |
|
Family....Romeo & Mwengi Ali shem lake.... |
|
My Fresh n Blood Sister ESMA KHAN nae akukosekana licha ya kuwa mbali kidogo lakini aliweza wahi kuja kunipa support mdogo wake... |
|
Kulikoni Romeo wamfokea Penniel........??? Sielewi |
|
Esma Khan & True Boy Nay.... |
|
Kichwa mimi hapa,SALMA msangi & Proffesor J.... |
|
Essy & I |
|
Mechoka sana muda huo ilinibidi k ukimbia kurudi hotelini kupumzika baada ya siku 4 nyuma kuwa resi muda mwingi kufanikisha jambo ili,Namshukuru sana Mungu kwa kufanikisha Jambo ili na Crew Yangu nzima ya WASAFI CLASSIC BEIBY |
|
Doooh......Noma sana |
|
Memaliza watu wang wa kweli......... |
Category:
News de stars
About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!
0 commentaires