Test Footer

Misteri

Recent Post

29.08.2013.....AT SERENA HOTEL..........JE UMEPATA MWALIKO WAKO...??

Mac For Worlding | 29.8.13 | 0 commentaires



Unapozama kwenye dimbwi la mahaba na mwenzi
wako basi unakuwa umevutiwa na vitu vingi
kutoka kwa mwenzi wako.


Ni mengi sana unaweza vutiwa nayo toka kwa mpenzi
wako iwe kwa mwanaume au mwanamke,
lakini binafsi nasimama kote kote kwa kuwa ninanishi
 kwenye jamii nayozungukwa na jinsia zote.
Nimekuwa nikifunguka na kutoa darasa hapa hapa,
Je ni vigezo vipi waweza tumia kumpata
Number One wako.....?? Binafsi niliorozesha
vigezo swali nkakuachia wewe.....

Unaweza ukazama kwenye mapenzi kwa sababu
nyingi lakini kama mwanaume natoa sababu moja
unaweza mpenda mwanamke kwa muonekano
 wake,mavazi yake na mengine kiujumla,
Lakini kwa wanawake mi napenda niweke wazi....
Utanashati usikudanganye
Sio kila apendezaye anaweza kuwa your #Numberone.......
Chukua toka kwangu hii alafu wewe mwenyewe fanyia
 utafiti kisha utaniambia na pia ni Ushauri wa
Bure.......

Kesho 29.08.2013 kuanzia saa 20:00pm hadi
21:00pm #Mynumberone video Launching
at Serena Hotel........Umepata mwaliko wako.......???

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 commentaires