ULISHAWAHI ICHEKI BEHIND THE SCENE YA TITANIC? KAMA BADO BASI ZICHEKI PICHA HAPA
basi lazima wanajua utamu na uchungu
wa filamu hii iliyotoka mwaka 1997.
Titanic iliyoigizwa na Mastaa kadhaa kutoka Hollywood ikiongozwa na
Director nguli nchini Marekani James Cameroon akiwa
na Staring Leonardo Dicaprio na mwanadada
mshindi wa Oscar Katie Winslet lakini hapa nipo
kukuonesha jinsi ya ufundi wa Director
James alivyotumia ujuzi wake kututengenezea filamu hii....
Unaweza ukawa ushawahi ziona picha hizi lakini hapo
nakuchambulia kiundani zaidi
zicheki picha 20 uone kila kilichojiri ndani ya
utengenezaji wa Filamu hiyo iliyoshinda
Tuzo za Oscar na Grammy mnamo august mwaka 1998.....
Mwongozaji James Cameroon akiwa na Leonardo Dicaprio |
Category:
0 commentaires