Test Footer

Misteri

Recent Post

Penny,Lulu na Wema enzi za mahusiano yao.


Mtangazaji nyota nchini ambae ni mchumba wa kupika na kupakua wa mwanamuziki Diamond Penny amevunja ukimya na kutoa onyo kali kwa wasanii wa kike na wasio wasanii kumlaia mbali baby boy wake Diamond.

Habari za uhakika toka kwa mtu wa karibu na Penny anaeishi nae maeneo ya Mwananyamala ambae pia aliomba hifadhi ya jina lake alisema “ Jamani Penny amejipanga kuolewa na Diamond kwani sasa hivi amecharuka na kutoa onyo kali kwa mwanamke yeyote atakae msogelea mchumbaake huyo la sivyo ataroka mtu” Alisema dada huyo ambae anafanyakazi nyumba ya jirani na anapoishi Penny

Penny amepiga mkwara huo hasa akimlenga zaidi msanii Lulu na Linah nk huku akitahadharisha kuwa anawaomba wote wenye tabia ya kuchukua wanaume za watu kwani yeye katika maisha yake hajawahi kuchukua mume wa mtu hivyo kama akihisi kuna ajenda yoyote ya siri kati ya mchumbaake na wasanii hao hakika ataroga mtu kwani yeye ni mtoto Mdigo halisi.

Aidha chanzo hicho kiliongeza kusema kuwa penzi la Penny na Diamond limefikia pazuri kiasi cha familia zao kutembelea na kula pamoja kama wakwe. Hata hivyo ilielezwa kuwa Familia ya Diamond imeshampa Baraka zote mtoto wao ili amuoe kabisa Penny na huku nae Penny akihimizwa kudumisha upendo wa dhati kwa Diamond ambae tangu aanze kuishi na mtangazaji huyo Diamond amebadilika sana kitabia kiafya nk.


 
 
Baada ya Diamond kutoa wimbo wake mpya wa Number one ambae kwa sasa ni gumzo, kila mahali kwenye sherehe ama harusi watu wanacheza staili aliyocheza diamond kwenye huo wimbo ambayo yeye mwenyewe anaiita Gololo ....Hii naitabiria itakuwa staili kubwa ya kucheza kama ilivyokuwa AZONTO ya Kutoka west Africa...Big Up chalii yanguuuu Diamond..


Mwana FA na AY wapo jijini Nairobi waliko kwenda kurekodi nyimbo mbili na producer Eric Musyoka wa Decimal Records. Wameshare picha na video wakiwa kwenye studio hiyo.

Mwanamuziki ODG Maarufu kwa jina la Azonto akiwa ndani ya ulinzi mkali
  
Azonto kulia akiwa na na baunsa wake huku msanii wa Bongo Movie Manaiki Sanga "the don" akitoa maelekezo kwa mwanamuziki huyo ndani ya Hotel ya JB BELMOND alipofikia mwanamuziki huyo



Msanii wa Bongo Muvie Prince Kas ambae yuko kwenye kamati ya mapokezi ya mwanamuziki huyo asubuhi ya leo kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa Da'salam
Manaiki Sanga "The Don" naye yuko kwenye kamati ya ujio wa mwanamuziki Azonto akiwakaribisha wageni hao 
  Msanii Fuse ODG (wa pili kulia) akiserebuka ngoma yake  ya Azonto pamoja na waandishi wa habari.

 Fuse ODG akizungumza na waandishi wa habari, (hawapo pichani) na kulia ni Afisa Biashara Mkuu wa Zantel, Sajid Khan na kushoto ni Mkurugenzi wa Radio ya Times FM, Rehure Nyaulawa.
 

 Fuse ODG akipozi na wanahabari.

Fuse ODG akitoka katika Hoteli ya Kilimanjaro baada ya mkutano wake na waandishi.
Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Ghana, Fuse ODG, aliyewasili leo jijini Dar es Salaam, ameahidi kufanya makamuzi ya kufa mtu kesho.
Akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro, Posta alasiri leo, Fuse alisema amefurahi kufika Tanzania na kuwaahidi wapenzi wa burudani hususan wa nyimbo zake ukiwano wa Azonto kuwa watapata kile kitu roho inapenda.
Afisa Biashara Mkuu wa Zantel, Sajid Khan aliyeongozana na mwanamuziki huyo kwenye mkutano huo wa Waandishi wa Habari alisema Zantel imemleta mwanamuziki huyo ili kuwapa ari wasanii wa ndani wenye lengo la kufikisha kazi zao hatua ya kimataifa.
“Zantel imekuwa mstari wa mbele katika kuwawezesha wasanii wa ndani, hasa vijana, na kwa kumleta Fuse ODG, ambaye ni mmoja wa wasanii wachache kutoka Afrika waliofanikiwa kufikisha muziki wao soko la kimataifa, tunaamini vijana watajifunza mengi,” alisema Khan.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Radio Times FM, Rehure Nyaulawa alisema wamemleta msanii huyo ili kuhakikisha Watanzania wanapata burudani wanayoipenda ya Azonto hapa nchini.
“Azonto imejipatia umaarufu mkubwa karibu dunia nzima, lakini pia kwa upande wa radio yetu wimbo huu umepata maombi mengi kuliko wimbo wowote wa kimataifa kiasi cha kuona tuwaletee Watanzania burudani wanayoipenda,” alisema Nyaulawa.
Shoo ya mwanamuziki huyo itafanyika kesho katika Viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama na burudani itaanza saa mbili usiku hadi majogoo.
Kiingilio katika shoo hiyo kitakuwa shilingi 10,000 kwa kununua tiketi kabla na shilingi 15,000 kwa kununua mlangoni.
Msanii kutoka nchini Ghana Fuse ODG anaetamba na ngoma zake kama vile Azonto na Antenna tayari ameshatua katika ardhi ya Tazania.
 
Wasanii wa Bongo watakao washa moto ni Dogo Janja, Wakazi,Snura, H.Baba, Madee na wengine kibao watakuepo.
Surnommée «Tianhe-2», cette machine peut effectuer 33,86 millions de milliards d'opérations par seconde.

C'est une rude bataille que la Chine vient de remporter. La liste des 500 superordinateurs les plus puissants du monde, publiée lundi par l'Université de Mannheim (Allemagne), est dominée par une machine chinoise. Ce classement, créé en 1993, est mis à jour deux fois par an. L'ordinateur lauréat a été mis au point au sein de l'Université chinoise de technologie de défense, dans la ville de Changsha. Ses créateurs l'ont surnommé «Milky Way 2» en anglais («Voie lactée») et «Tianhe-2» en chinois («La rivière du ciel»). Il peut être utilisé dans le cadre de recherches météorologiques ou militaires mais aussi pour des analyses d'un très grand nombre de données.

Une technologie américaine

Ce superordinateur a une puissance de calcul de 33,86 petaflops. Cela signifie qu'il peut effectuer 33,86 quadrillions (33,86 millions de milliards) de calculs par seconde. C'est presque deux fois plus que la capacité de la machine qui dominait le dernier classement des 500 superordinateurs les plus puissants. Il s'agissait à l'époque de Titan, un ordinateur américain, qui a une puissance de calcul de 17,59 petaflops. Il occupe à présent à la deuxième place de la liste. Néanmoins, Quentin Hardy, journaliste du New York Times spécialisé dans les nouvelles technologies, rappelle que «Tianhe-2» fonctionne grâce à des processeurs Intel, soit une technologie américaine.

Des Français dans le classement

Ce n'est pas la première fois qu'un ordinateur chinois reçoit de tels honneurs. En 2010, un autre de ses superordinateurs - appelé «Tianhe-1A» - avait été sacré machine la plus puissante au monde. Sa capacité de calculs était à l'époque de 2,57 petaflops.
Du côté de la France, Pangea, supercalculateur inauguré en mars par Total, se classe 11e dans la liste publiée lundi, avec une capacité de 2,09 petaflops. On y retrouve aussi le superordinateur de Météo France, utilisé pour la recherche météorologique, à la 54e place.